WANAFUNZI WA SKULI YA UFUNDI JKU MTONI WA FANI YA MASONRI (MB)

Thu, Oct/26, 2023 Slide-show

WANAFUNZI WA SKULI YA UFUNDI JKU MTONI WA FANI YA MASONRI (MB) WAKIWA KATIKA MAFUNZO YA VITENDO, MWAKA WA MAFUNZO 2023/24. PIA SKULI YA JKU UFUNDI INATOA MAFUNZO KATIKA FANI MBALIMBALI IKIWEMO UFUNDI UMEME (EL), USHONI (TL), MAFRIJI (RAC), BOMBA (PL),UUNGANISHAJI VYUMA (WF), UTENGENEZAJI VIPURI (FT), UCHORAJI (PS), FANI YA UBARIA (FS). SAMBAMBA NA HAYO PIA HUFUNDISHWA NIDHAMU, HUAPATIWA MAFUNZO UKAMAVU (MAZOEZI), PAMOJA NA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA SHUGHULI ZOTE ZA UJENZI WA TAIFA.