WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU WA SKULI YA SEKONDARI JKU WAKIWA KATIKA CHUMBA CHA MAABARA YA KEMIA

Thu, Oct/26, 2023 Slide-show

WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU WA SKULI YA SEKONDARI JKU WAKIWA KATIKA CHUMBA CHA MAABARA YA KEMIA, CHINI YA USIMAMIZI WA MWALIMU WAO WAKIFANYA PREKTIKALI YA SOMO LA KEMIA, MADA YA TITRATION KWA MADHUMUNI YA KUJIANDAA NA MITIHANI YAO YA NDANI YA MWAKA 2023 PAMOJA NA MITIHANI YAO YA TAIFA YA MWAKA 2024.

SAMBAMBA NA HAYO PIA SKULI INAMAJENGO BORA NA YA KISASA YENYE KUZINGATIA HUDUMA KWA WANAFUNZI NA WALIMU WENYE UHITAJI MAALUMU. PAMOJA NA MAABARA ZA KILEO ZINAENDANA NA WAKATI, HUDUMA BORA ZA AFYA NA ULINZI WA WANAFUNZI MUDA WOTE WANAPOKUWA SKULI.