MSAIDIZI MWALIMU MKUU WA SKULI ZA JKU SEKONDARI NA UFUNDI LUTENI KANALI BIMKUBWA SAID MBAROUK

Fri, Nov/17, 2023 Slide-show

MSAIDIZI MWALIMU MKUU WA SKULI ZA JKU SEKONDARI NA UFUNDI LUTENI KANALI BIMKUBWA SAID MBAROUK SAMBAMBA NA MWALIMU DHAMANA WA SKULI YA SEKONDARI MEJA HAKIM MOHAMAMED USSI WAKIWA KATIKA ZOEZI LA UGAWAJI WA ZAWADI KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MITIHANI YA UMOJA WA SKULI ZA MAJESHI ‘MILITARY EXAM’ KWA KIDATO CHA NNE NA MITIHANI YA WILAYA YA MAGHARIBI ‘A’ KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI.